Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
EwaaKuhonga mwanamke ( mama, rafiki ) hiyo sawa haipingwi.. na inakuwa sio kuhonga ni ku invest.. Ila ku invest kwa muhuni hatari
Ndio mwambie anitagSubiri atatupia tu
Sema labda ndo unaweza usipo humu muda huo
Ni kisu kweli sio mchezo
Khaa mwaka huu hauishi nakupa mimbaNo mi na mimba hata sijui ikoje
Angalia vzr hiyo picha nilinenepa na hakuna tumbo hapo
Ah sio mbayaNilishakuwaga huko ila sio sn[emoji23]
Kabisaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Salama mrembo, uko poa??
KhaaaaaaKhaa mwaka huu hauishi nakupa mimba
Aishiiiiiii Unaniita rafiki unataka uninyime nn jaman [emoji26]Haya nikiwepo online rafiki
Kuomba nako ni kipaji kingine.Wanawake bana ataomba laki usipompa atakuta hata 1000(buku) kwenye Meza anasepa nayo
Unafanya kazi na mm nafanya kazi unaniomba hela ya nnKuomba nako ni kipaji kingine.
Mwanaume mwenye akili anatoa pasi na kuombwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
65 siyo mbaya dearNdo naongeza kidogo sitaki nizidi kg65
Mwanaume ni provider.Unafanya kazi na mm nafanya kazi unaniomba hela ya nn
@Alayna uje umtag na bwana mkubwa hapaNdio mwambie anitag
Investment ambayo ina return ☺️☺️☺️ ukihongwa unagongwa
Return yake ni uaminifu na uhakika wa kuoa.Investment ambayo ina return [emoji3526][emoji3526][emoji3526] ukihongwa unagongwa
Hamna sikunyimi rafikiAishiiiiiii Unaniita rafiki unataka uninyime nn jaman [emoji26]
Ukiitwa rafiki ni rahisi kugongaAishiiiiiii Unaniita rafiki unataka uninyime nn jaman [emoji26]
Kuomba kazi sanaKuomba nako ni kipaji kingine.
Mwanaume mwenye akili anatoa pasi na kuombwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna investment zina fail na unakuta return zero 😬😬