Hehehee, watu wanahonga gari za mil 150, unazungumzia Prado ya mil 40, gari hizi wanawake mjini wanahongwa mnooo, utakuwa ni mshamba kama hujui watu wanahonga gari wanawake, hivi vi ist ndio usiseme. acha ushamba mkuu.
Wanawake wangapi wamefunguliwa miradi ya mamilioni, kama hujawahi kuhongwa usifikiri watu hawahongi, kama unahongwa mwisho vocha ya 1000 hizo ndio level zako mkuu, usifikiri wengine hawahongwi.