Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] nilijuuuuta akaishia kuwa mshkaji wangu tu mana hata kukasirika nilishindwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati naingia JF kila madam ya umbea na udaku, ana nitag,. Hasa akipost warumi, utaona "cocastic njoo hapa pacha wako anakuita". Khaaaj
 
[emoji2][emoji2][emoji2] hadi umezoea sasa
 
Sijakataa, wanaume wanaohonga wapo ila ni kama bahati kumpata/kuwapata.

Ila kuna watu wana bahati zao. Na shida mwanamke anaweza pata hiyo bahati na hata asiitumie vizuri kwa manufaa yake mwenyewe.
 
Wala asikudanganye dea, ni futuhi tyuuh. Huijui JF wee?Lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…