Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28][emoji28] urithi wa bibi. Mimi nisaidie nipungue tumbo mwenzio
Usikute mzaa baba huyo [emoji23]
Mazoezi haya yanasaidia sit -ups , squats ,push ups ,na planks

Mazoez mengine haya
Kutembea , kukimbia , kuendesha biycle pia na kuogelea nayoo ni mazoezi mazuri kweli
 
Hii kweli, Kuna mtu aliniambia kamba ni nzuri Sana kwa kufanyia mazoezi
 
Nataka nibaki humu
Na queen Sendeka QueenDeby nina kikao naye🤣🤣🤣
Mambo si ndio hayo sasa hakuna kuzubaaaa!! Chumba nishawaandalia kabisa ngoja nijiongeze🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️

Mlale unono wapendwa wangu ❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…