We kimodo bana jiondoe haraka kwenye ukibonge. Nyie wanawake wa kisasa wasomi mnaokula kwa nidhamu ili msiharibike miili. Huwa nawaambia kuwa tuonane baada ya watoto wawili hivi...

Hapo nimewasemea vibonge, mie kimodo kweli. Alafu ungejua nakula hovyo mimi ila mwili ndio umegoma kabisa na ninavyotamani kuongezeka daah sinaga tu namna.