Selfika na JF: Snap it. Show it

Labda kawepo ka utaratibu mtumiwe kwa zamu pm[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu jukwaani kuna watu wanapita kimya kimya tena wazee watazinyaka huenda mwana selfika hakuna atakayepata
Ndio wawe na roho nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya kuachia wenzao.


Pm hapana..raha ya vocha itumwe hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…