Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna namna!! Ila mjue pia kuna wenzenu Wengine humu pia nao wana uhitaji so nashauri msitupendelee wanawake tu !!
Kwanza hatuja mtenga mtu.
Hapa tunazungumzia kwa sisi hasa ambao tuna uhakika wa kujitafutia mahitaji muhimu kuwapisha dada zetu but hii sio sheria ni suala la mtu binafsi kujitambua na kuwapa wengine kipaumbele.
Lakini humu kuna wavulana au mtu mwenye changamoto za kiuchumi ni haki yake kupata hii huduma.
 
Kabisaaaa!! Kwahio kaka mkubwa ikitokea ukaombwa vocha na kijana wa kiume humu unafanyeje wewe kama wewe kaka mkubwa!! Unamlia buyu ama nene!🤔🤔
 
Nashauri tuachiwe graduates..wa kiume na wakike.

Wenye kazi tafadhali tuachieni graduates hizi vocha..maisha ni magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…