Afadhali hata umeitolea ufafanuzi mwanzo nilivyoona nikajisemea kama mambo yenyewe ndio haya bora kuacha kuselfikaTaarifa za kwenye picha hazitoshi kumjua mtu. Ni baadhi ya taarifa za awali zinazoweza wasaidia pa kuanzia, kwa mfano kujua location, model ya camera, mda picha iliyochukuliwa.. zitawasaidia mahala pa kuanzia.. ila sio kwamba watajua ni nani. Ukiwa na hizo taarifa mfano location, model ya camera utajua aina ya simu, time.. kwa wenzetu ulaya maeneo mengi yana CCTV wanaweza pitia pitia humo kupata point point ... sema nipo maji ningeendelea kuandika
Mjep cocastic Christine1
πππ Mtu akisikia kipisi cha story mtaani anakileta kama kilivyo bila kujua nyuma ya anachokisema kinafanyaje kazi.. Sio kali rahisi kama wanavyo chukulia ni mlolongo mrefu sanaAfadhali hata umeitolea ufafanuzi mwanzo nilivyoona nikajisemea kama mambo yenyewe ndio haya bora kuacha kuselfika
Thanks.
Nipo mzima Alicia Keyes wetu. Unaendeleaje tajiri yangu ππ familia wazima ?Morning baba pasta
Mimi mzima, familia nayo wako poa wote mungu ni mwemaNipo mzima Alicia Keyes wetu. Unaendeleaje tajiri yangu ππ familia wazima ?
Nikaogopa aisee πππππ Mtu akisikia kipisi cha story mtaani anakileta kama kilivyo bila kujua nyuma ya anachokisema kinafanyaje kazi.. Sio kali rahisi kama wanavyo chukulia na mlolongo mrefu sana
Mie mzima, na familia yangu sote wazima.. tunafurahi kusikia upo mzima . Natumai jumatatu inakuwa njema kwako hapoMimi mzima, familia nayo wako poa wote mungu ni mwema
sijui wewe ?
Ah selfika iendeleeNikaogopa aisee [emoji3][emoji3]
πππ Usiogope Alicia Keys wetu. Sie kwanza sio threat hatutukani mtu sie tuna mastory yetu ya ajabu ajabu kusogeza siku.. kiasia kwamba waanze kutufatilia labda kama wana wa train wanafunzi kupata ABCNikaogopa aisee ππ
Nimefurahi upo mzima mama!!Hahahahaaaaaaaaaa!! Nicheke mieee!!!
Mie Nakusalimia tu kakangu!!
Nipe locationKipitie bina
ππ Story za kusukuma siku wenyewe tunafurahi maisha yanakuwa rahisiπππ Usiogope Alicia Keys wetu. Sie kwanza sio threat hatutukani mtu sie tuna mastory yetu ya ajabu ajabu kusogeza siku.. kiasia kwamba waanze kutufatilia labda kama wana wa train wanafunzi kupata ABC
Hatuachi kuselfika hata watuueeAh selfika iendelee
Mimi kwa kweli sijali [emoji23][emoji23]
Tupia basi hata kidole Alicia Keys ππ nilaleππ Story za kusukuma siku wenyewe tunafurahi maisha yanakuwa rahisi
Aah ubarikiwe sana kwakweli
Ndiyo rafikiHatuachi kuselfika hata watuuee
πππ Nikawaza kweliAh selfika iendelee
Mimi kwa kweli sijali [emoji23][emoji23]
Ah usiwaze[emoji3][emoji3][emoji3] Nikawaza kweli
Selfika idumu
Aah ngoja kwanza nikanywe chai nitarudi ππππΆββοΈTupia basi hata kidole Alicia Keys ππ nilale
Sawa sisAh usiwaze
Tuendelee kuselfika