Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,380
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]Ndo ukweli huo
Wengine wanatoaga vituko siku ya kwanza
Ukifanya tena zitakuwa nzuri zaidi
Shangazi Shangazi nakusubiri mahala [emoji1][emoji1][emoji1]
Eeh nipo kona tuu .. hapa huku nakula Rock za maana ,ππNajuaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]
Sikuivisha sana viazi kama ulivyosema.
Ila unga sasa,,umenipiga chenga.
Kesho nitajaribu tena.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Najuaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile recipe ya bagia nishasahau.Ah jaribu tena
Ah unga unachanganya aisee
Mimi kuna siku hapa nimetaka kutoa bagia nyingi nikatengeneza uji mwepesi aiseee vilitoka ovyo sema tu tamu .
Hebu itafute upikeIle recipe ya bagia nishasahau.
Ngoja niisake.
Nikifanikiwa kuzipatia ;yaani nitakuwa napika bagia kama mwehu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pika bagia za kunde hiziIle recipe ya bagia nishasahau.
Ngoja niisake.
Nikifanikiwa kuzipatia ;yaani nitakuwa napika bagia kama mwehu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hizo sarawiliKaribu faraghani.
Sharti uje na suruali yenye mapanga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safiii jirani, ..Tinsley nilizingatia ushauri wako wa kuviringa vizuri.
Ila nahisi nimekosea kwenye ngano..ilikuwa siyo nyepesi sana.
Niliweka na binzari Kwa mbaali kuongeza utamu.View attachment 2258543View attachment 2258545
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AiseeViatu virefu changamoto sana.
Mimi huwa siwi huru..Najivalia zangu vifupi, nakuwa huru.
......
Nkamu ,nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipokushukuru...maendeleo ya zoezi letu la socks ni mazuri..japo kuna wiki natega sana.View attachment 2258586View attachment 2258587
Ila unga wake nitaupata kweli?Hebu itafute upike
Mimi sivipendi vinanyonya mafuta mno
Ni rahisi pia kutengeneza sema ndo uji wake uwe mzito kiasi ...
Unafanya patrol mzee ππππ
Yeah utaupata
Bila hizi hautaingia.Hizo sarawili
Hapana
Ila nimekaribia
Huko faraghani
Hadi sokoni eeh?Yeah utaupata
Unga wa dengu upo sehemu nyingi