Aulize kwa hawa membaz, wampe muongozo, au kwa kuwa sikuwepo week 2 hizi, bas anaona n nongwaaa, hebuu mumpe taarifa kuhusu coca selfika.Kijana mpya uyo kijiweni anashangaa pipo kupita mazima mida hii
Mbona ukimwi upo na watu hawaachi kutembelea rimDuh! Watu hatukomi tu kujirekodi
Au unifungashie kabisa ile nyingine nilale nayo mie???Hewaah!! hapo tu ndo huba langu kwako linaongezekaga!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaniacha hoi mnoooo.Msamehe ni utani tu[emoji23]
Siku ingine bhanaEh mana nmeshangaa kisingizio cha simu mpya tena [emoji2][emoji2]
Mmmmmh cuzoooooo lol.
njoo nkupe hiyo k2 ili ukiiangalia uwe unakumbuka upala wanguMmmmmh cuzoooooo lol.
Hii kujirekodi ni upuuz basi tu kujitoa ufahamuMbona ukimwi upo na watu hawaachi kutembelea rim
Huku nilipo imefika 13, hatar tupuni kula tu kitu [emoji3][emoji3] huku tunasubiri ki baridi kishuke zaidiView attachment 2257832
OkSiku ingine bhana
Weee kwamba upo southern highland au KLM au ndo abroooHuku nilipo imefika 13, hatar tupu
Say no more!!Au unifungashie kabisa ile nyingine nilale nayo mie???
mambo ni bul bulNiaje mzee
muongo huyo Glenn aselfike aseeEh mana nmeshangaa kisingizio cha simu mpya tena [emoji2][emoji2]
Nakubali fazamambo ni bul bul
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] taarifa ikufikie mwayaaa.Umeasisi nini kujilipua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] boya kweli!
Nyanda za juu kusiniWeee kwamba upo southern highland au KLM au ndo abrooo
huku kinashuka tuu ππ kuna dalili leo kikaenda hadi 9 au 8.. na kinapenyaa hatari ππππ kadri navyo enda juu kinashuka tuHuku nilipo imefika 13, hatar tupu
Najua tu hii ni kamba, katoa ahadi kesho ntamkumbusha.N
muongo huyo Glenn aselfike asee
π€π€π€π€π€see you soon