spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,136
- 21,879
Kijana mpya uyo kijiweni anashangaa pipo kupita mazima mida hiiUna ugeni na selfika? Popo ya kujilipua Selfika kwa mida hii mie ni m1 wa waasisi, we uliyekuja mda mfupi ndo uanze kujiona umefikaa sanaaa? Ukae kwa kutululia.
Nipooo sanaaaa, labda uombe muongozo wakupe, na habari uwe nayo mwayaaa.
Msamehe ni utani tu[emoji23]Yaan anawashwa vibayaa huyu, selfika enyewe kaja juzi, anahaha km kuku wa kideri, aliyekosa kutoa haja. Lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! Kwako kat
Uwapo mwenyekiti hakuna kinacho haribika, nadhani tufunge kikao Ila ombi langu kwako naomba sie tusio dark and handsome mtufikirie mnapotendwa huko isee tumechoka kuwaita mashemejiii ," in makasiriko voice"🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!! Kwako katibu
Picha si zinakaa google photos au nako umefutaSimu mpya hana picha hata moja...kesho nakuandalia maalum mama J
sema mtu ya kulenga shabaha hata ukiwa mbalOyaa 20pac Big
Niaje mzeesema mtu ya kulenga shabaha hata ukiwa mbal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafaidi scene tyuuh hapa, dada ana sauti huyu, jamaa anapiga hard core ya kibabeeee mnooo, ana ukuni huo weee, naburudika hapa,Eti Muhas kumekuaje
[emoji23]Uwapo mwenyekiti hakuna kinacho haribika, nadhani tufunge kikao Ila ombi langu kwako naomba sie tusio dark and handsome mtufikirie mnapotendwa huko isee tumechoka kuwaita mashemejiii ," in makasiriko voice"
Umeasisi nini kujilipua 🤣🤣🤣 boya kweli!Una ugeni na selfika? Popo ya kujilipua Selfika kwa mida hii mie ni m1 wa waasisi, we uliyekuja mda mfupi ndo uanze kujiona umefikaa sanaaa? Ukae kwa kutululia.
Nipooo sanaaaa, labda uombe muongozo wakupe, na habari uwe nayo mwayaaa.
Mmmmmh cuzoooooo lol.hahahahaha!!!!ety
Uwapo mwenyekiti hakuna kinacho haribika, nadhani tufunge kikao Ila ombi langu kwako naomba sie tusio dark and handsome mtufikirie mnapotendwa huko isee tumechoka kuwaita mashemejiii ," in makasiriko voice"
Heh piem basi coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafaidi scene tyuuh hapa, dada ana sauti huyu, jamaa anapiga hard core ya kibabeeee mnooo, ana ukuni huo weee, naburudika hapa,
Watu na connection zetuuuu mjini. Weraaaaaaaaaaah
Ni connection??Heh piem basi coca
Eeh ndioNi connection??
Please usinifanyie hivo mkuu jamani do that pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Simu mpya hana picha hata moja...kesho nakuandalia maalum mama J
Picha si zinakaa google photos
tulia totoo😄
Hewaah!! hapo tu ndo huba langu kwako linaongezekaga!!Ombi limepokelewa na kufanyiwa kazi katibu wee subiri response tu!! Tutajileta wenyweeee
Duh! Watu hatukomi tu kujirekodiEeh ndio