Selfika na JF: Snap it. Show it

Barikiwa mnoo mnoooo katibu sasa naweza kulala vizuri!!!
Hapa umemaliza deni katibu selfii hudaiwi,, hujaoa,, hudaiwi chama na hutoki na mke wa mtu!!!! uko huru kabiaaaaaa
Wabheja sana katibu
khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…