Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Barikiwa mnoo mnoooo katibu sasa naweza kulala vizuri!!!View attachment 2257819
Ila ukweli sipendi kupiga picha sijui kwanini!!
Hapa umemaliza deni katibu selfii hudaiwi,, hujaoa,, hudaiwi chama na hutoki na mke wa mtu!!!! uko huru kabiaaaaaa
Wabheja sana katibu ✌️😘
