Selfika na JF: Snap it. Show it

Yes
Halafu sundrop sio pure alizeth eeh?

Huku mafuta yameshuka sahivi,na yatashuka tena sbb ni mavuno,yatapanda baadae!
na alizeti ndio mafuta ghali kuliko yote!

Hapana ni refined oil
Ndo maana haina harufu ..

Halfu nimesikia watu wanalalamika alizeti nyingine haifai mfano unakaanga hivi kitu mapovu yanatokea kwa juu ..
 
Ukitaka kuninyima msosi wako, au nile kwa shida basi pikia alizeti yenye harufu
 
Hapana ni refined oil
Ndo maana haina harufu ..

Halfu nimesikia watu wanalalamika alizeti nyingine haifai mfano unakaanga hivi kitu mapovu yanatokea kwa juu ..
Hayo sio pure
Ni Yale makapi ambayo yashachujwa,wafanyabiashara wadogo wanayachukua then wanayachemsha tena na kuyachuja
So kwa tunaojua siwezi nunua hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…