Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwezi kuongea vizuri vile, nikakupa A+ kwenye theory, halafu ukapata S kwenye practical, naamini hata practical lazima unapiga misonge tu!
Huko ndio kabisaaa ziro brain!πŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈ
 
Huwa nyie mnapenda kufanyiwa vizuri. Huu mchezo ni two way. Sasa unakuta binti amekutengea tu unahangaika wee mwisho wa siku anasema hujafika mlimani wakati wewe mwenyewe hutoi ushirikiano.
Watoe ushirikiano, sasa hivi.."you do me and I do you", mambo ya kutengeana kama beseni unahangaika kufua mwenyewe nani anataka.
 
Nimefurahi unapenda bamia, ni nzuri kwa afya wanasema..ngogwe ni nyanza chungu...kuna namna wanazipika hawa wataalam, haziivi vizuri, basi ukitafuna unajua kabisa nakula afya hapa!!
Nyanyachungu zile ndogo ndogo zinakauchungu kwa mbali??
 
Salama boss kilinitait kihoma hapa Kati lakini Sasa nimerudi kwenye reli,,watoto wazuri wanahitaji care Safi Sana
Pole sana mkuu, nahisi kuna ka upepo flani kana pita mie mwenye hapa nipo hoi hatari ila nakaza tu
 
Shida ni mazingira aliyojengewe mwanamke!
Ndo maana ni vzr Huyo baby wako akawa rfk ako kwanza!
Yaani akufanye uone km amekupenda km ulivyo akufanye uwe huru anakujemgea confidence ya kujiamin mbele yake!
Mi nakuchana tu yaani,gusa hapa,pita hapa mambo ya kuachwa nusunusu siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…