Wewe ni dislike tu nipo nahemea vya kijacho changuNimefanya research, nakutumia PM
Nilikuwa sijaona, nipo tu busy kubishana. Na Mimi kwa ubishi mweehNgoja nibadirishe mada
Haya selfikaa
Portable hoyeeee
Kuna watu naona wanataka kutuharibia humu
Dislike muhimuπππWewe ni dislike tu nipo nahemea vya kijacho changuView attachment 2255430
πππWewe sikupigi kuna namna yangu nitafanya ππ
Uje na Biblia tusali kwanza maana si kwa mtifuano huu mtamu.Nimefanya research, nakutumia PM
Hujabahatisha hata moja nimeweka mbili cha ajabu unaweza kuja janaume limegombania nalo πππNilikuwa sijaona, nipo tu busy kubishana. Na Mimi kwa ubishi mweeh
Moja, thanks.Umewahi zote au moja
Ungejaribu na ingine huenda badoMoja, thanks.
[emoji16][emoji16]Hujabahatisha hata moja nimeweka mbili cha ajabu unaweza kuja janaume limegombania nalo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimebahatika [emoji4]Umeipata eeh bora
Nimechukua namba yakoππππSante[emoji7]
Ah vyemaNimebahatika [emoji4]
Nilianza na ile ya kushoto nkaambiwa ishatumika [emoji23] thanks rafiki.Ungejaribu na ingine huenda bado
Nimekuja kuona zishapita dk 3, so hata sikuhangaika kuingiza. Ubarikiwe thoughHujabahatisha hata moja nimeweka mbili cha ajabu unaweza kuja janaume limegombania nalo πππ
Tulishakubaliana. Vocha zote waachiwe mabinti. Ni aibu kubwa kwa mwanaume kudandia vocha zinazowekwa na wanaume wenzake humu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706]Hujabahatisha hata moja nimeweka mbili cha ajabu unaweza kuja janaume limegombania nalo [emoji16][emoji16][emoji16]
Jaribu huenda bado badae basi π¬π¬Nimekuja kuona zishapita dk 3, so hata sikuhangaika kuingiza. Ubarikiwe though
Rudisha [emoji23][emoji23]Nimechukua namba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwakweli!! Sasa kuna muda unakuta mkaka anajisifuuuuuuu maneno mengiiii blah blah kibao kuja 6*6 toba yaillahi!!ππππ ni empty set!!Mnapitia mengi[emoji23][emoji23][emoji23] and still mnavumilia,, mtafika paradise mmechoka sana
Sijui atakuwa nani huyoNilianza na ile ya kushoto nkaambiwa ishatumika [emoji23] thanks rafiki.
Nipo serious. Ngoja nitoe maelezo kwanza kwa Baba Mchungaji, ili aniruhusu kuja PM kwakoUje na Biblia tusali kwanza maana si kwa mtifuano huu mtamu.
Nikufungulie PM au unatania?