Aisee tena watu wenye nguvu chache ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka na kuwa abusive kwa wake zao. Ile kuchepuka na kupewa sifa za uongo na michepuko kunaboost their low self esteem. Mke asimdharau so anampangia michepuko.
Sasa ukute mke ndiyo unapenda masifa, kitu kidogo my hubby afu mchepuko unajua jinsi shughuli ya bwana ilivyo fa fa fa; ukipita unavyochekwa maskini