Wanaume muione hii !ππ
Kuna Wengine wanachamfu kweli wanavuruko yani ukiwa nae ni unaongeza tu siku za kuishi kwa kucheka na kufurahi
Unakuta mwingne sirizzzzzzzz khaaπ£π£ !hadi anaogopesha!
Mwanaume yule ambae ukizingua nae anakuzingua kweli ila asiwe na mkono wa kupiga. Mwanaume ambae hata ukikaa nae unajihisi kabisa upo mahala salama, napenda. Sasa unakaa na mtu kazubaa huyo mimi simtaki.