Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
DuhBasi bana. Nimeliona. Jeupe. Bado jipya jipya. Ile nafunga mlango wa mkweche wangu mwenye nalo akaja. Jimama bichiiii! Black. Limevaa sundress. Mtako kama wote. Kiuno nyigu. Vititi vidogo mchongoko. Halafu lina uso mwororo na tabasamu lenye kivuli hivi kwa mbali.
Ikabidi nijikaze niliulizie bei. Nimeambiwa ni $78K. Kwa model hii unapata jipyaaa kabisa na makaratasi yake. Nikajipiga piga pale. Oooh nitajitutumua in two yrs ninunue. Ndo lengo langu. Nikasifiwa hapo wee. You are a real man. Una malengo. Na naamini una mipango pia.
Sijakaa sawa oooh! Take my number. My dad sells cars. Ukitaka kununua nitafute. I will make sure you get the best deal in town. Nikatupa macho kwenye mkono wa kushoto wa lenyewe. Sikuona pete...Nikalitania...I don't see a ring on your finger...likacheka weee halafu kwa kujishaua sana likasema kwa sauti tamu tamanishi...
"That's why I gave you my number".....
Tukaagana....!
Naam!
Carpa Diem!
Fortnox, _King
Seize the Day! [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2253627
Aisee...Fortnox, _King
Basi bana. Nimeliona. Jeupe. Bado jipya jipya. Ile nafunga mlango wa mkweche wangu mwenye nalo akaja. Jimama bichiiii! Black. Limevaa sundress. Mtako kama wote. Kiuno nyigu. Vititi vidogo mchongoko. Halafu lina uso mwororo na tabasamu lenye kivuli hivi kwa mbali.

[emoji41][emoji41] good thing umepata her contact [emoji3] kitu yutong hio gari ni moto Ngoja tuzikusanye ukivuta hiko kitu mzee nitakupa na balimi nne za baridi na sato makange kukupongezaFortnox, _King
Basi bana. Nimeliona. Jeupe. Bado jipya jipya. Ile nafunga mlango wa mkweche wangu mwenye nalo akaja. Jimama bichiiii! Black. Limevaa sundress. Mtako kama wote. Kiuno nyigu. Vititi vidogo mchongoko. Halafu lina uso mwororo na tabasamu lenye kivuli hivi kwa mbali.
Ikabidi nijikaze niliulizie bei. Nimeambiwa ni $78K. Kwa model hii unapata jipyaaa kabisa na makaratasi yake. Nikajipiga piga pale. Oooh nitajitutumua in two yrs ninunue. Ndo lengo langu. Nikasifiwa hapo wee. You are a real man. Una malengo. Na naamini una mipango pia.
Sijakaa sawa oooh! Take my number. My dad sells cars. Ukitaka kununua nitafute. I will make sure you get the best deal in town. Nikatupa macho kwenye mkono wa kushoto wa lenyewe. Sikuona pete...Nikalitania...I don't see a ring on your finger...likacheka weee halafu kwa kujishaua sana likasema kwa sauti tamu tamanishi...
"That's why I gave you my number".....
Tukaagana....!
Naam!
Carpe Diem!
Seize the Day! [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2253627
Bima [emoji91] chonde chonde Nina mdogo wangu anasoma hapo usije mharibia masomo [emoji3]Boy leo Magu Hostel kilichafuka…. _King
Hafu next time mnikumbuke mkienda Havoc sijui na madane St Anne na wana wengine. Sina gharama nakunywa Fanta Orenji tu.
View attachment 2253638
Sina uwezo wa kuvuta hii kitu wewe. Zilikuwa mbwembwe zangu tu kuizingua hii supa dupa yutong [emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji41] good thing umepata her contact [emoji3] kitu yutong hio gari ni moto Ngoja tuzikusanye ukivuta hiko kitu mzee nitakupa na balimi nne za baridi na sato makange kukupongeza
Hahaha dah nitakua makini bro siwezi haribu kwa dogo.Bima [emoji91] chonde chonde Nina mdogo wangu anasoma hapo
hahahahahaWizo nimepitwa jamani
Ni pesa ndefu mzee lakini sky is the limit unaweza lamba teuzi huko ukavuta chuma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina uwezo wa kuvuta hii kitu wewe. Zilikuwa mbwembwe zangu tu kuizingua hii pisi [emoji16][emoji16][emoji16]
Handsome 👍Kumekucha
View attachment 2253610
Hawa the bus driverHandsome 👍
Aah nimekubambaaa💃😘
[emoji1787]Bima [emoji91] chonde chonde Nina mdogo wangu anasoma hapo usije mharibia masomo [emoji3]
Anza wwTupieni picha hizo