Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
nikitoa emoji utasema nyoa basi nywele nikuone vizuri, wewee.😂😂, haya siku njema mrembo.Toa basi emoj [emoji17]
Wa 9??[emoji134]
Nani atatupa stori za emergency landing??
Tafadhali🥲
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eeh ndio maana hakinipi stress😂😂Hicho kitambi tafadhali kiache kipo sex sanaaa 😁😁😁
Toa Emoj tu basinikitoa emoji utasema nyoa basi nywele nikuone vizuri, wewee.😂😂, haya siku njema mrembo.
sawa kaka usinisahau kakaetu!Nitakutumia pm usiwaze
Kweli kabisa dearHahaha unakaa kiubishi tu
Kikubwa upendeze mambo mengine hayo ni extra
Hivi baba Vocha pm yako ipo wazi eeeh?Nitakutumia pm usiwaze
Ni hii, nina kazi nyingi, yaani nisingeweka, ujue ni mwezi wa 9 tena ndio ninge login jf.
View attachment 2253239
Me nakipenda kitambi changu😁
Ebu weka tuone
Kukitazama mie hoiEeh ndio maana hakinipi stress😂😂
Huijui flat?Ebu weka tuone
Hiyo flat nini
UlikaaTege?
Jana nimepepea nalo kwenye gauni fupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Muhandsome sanaAfadhali nimetime!!
Uko vizuri kaka!
Nilipanda bajajUlikaa
Mkao gani kwenye boda boda[emoji848][emoji2089][emoji1787]
Umekumbuka wapi 😁😁😁 kale ka wimbo kajana leo uniimbie basi😊😊💃💃💃
Kwako nimekuwa ka goi goi
Long time kitambo daah
[emoji1787]Mjue hz emoj zinatesa sana.mdada akiweka anamtesa mkaka. Mkaka nae akiweka anamtesa mdada.hapo hamja FUTA NA KU DELETE .FULL KUTESANA.wengine wangonjwa mkifanya hivyo ugonjwa unazidi
Ahsante sana, umeshatupa matumaini wenye sura personal.Afadhali nimetime!!
Uko vizuri kaka!