Kukosa kuheshimia na kuthamaniana ndio matokeo ya sintofahamu.. ila wanasema mwisho wa yote ni KARMA haiachagi mtu salama 🥸🥸Kumbe huu uzi na mambo mengi hivi?? Nitaanza kuuangalia kwa mapana kumbe mpaka watu mnazuliana pm jamani na hamtushtui wenzenu.
cocastic SIJAPENTAAA
Kubaya sana mkuuDah..huko pm kwa kweli panatisha!
Mimi mwenye sura
Ya garage ngoja nitulie
Hii gari nzuri sana inaenda Mkoa gani hapa JMT?
Eeh[emoji848][emoji23][emoji23]
Wige we mchumba kabisa...
Ole wako usijeKaisari ndio ananiachia saivi, nakujaaa
Naanzaje kutokuja, nikose mlo😋😋Ole wako usije
Chagua mzee mwengine wa kusimamia show, lakini kwa huyo umechemka, alinibania wajukuu zake! [emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji23][emoji23]jmn
😅😅😅 Imeisha hiyo namba Tisa hodaliYou guys have meetups?
View attachment 2252491
I thought tunamalizana humu humu?
_King unanielekeza Mabibo Hostels chenga ya mwili?
Eeh[emoji848]
@Chakorii [emoji1787]Wana nafasi zao kubwa kwenye mioyo yetu[emoji3590]View attachment 2252531
Ah wapi!Yote yanaenda sambamba...muhimu yote ni "linear equations", sovu yote simultaneously.
Kwamba vile unasaka pesa watu wasiibue chumvi[emoji3][emoji3]
Duh, uitwe daddy na mkeo, hata hainogi...ukute sasa mwingine huko wapi anaanza kuita daddy...aaaagrWana nafasi zao kubwa kwenye mioyo yetu[emoji3590]View attachment 2252531
Uitwe na Nani sasa[emoji23][emoji23]Duh, uitwe daddy na mkeo, hata hainogi...ukute sasa mwingine huko wapi anaanza kuita daddy...aaaagr
Kali kichiziHii gari nzuri sana inaenda Mkoa gani hapa JMT?