Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli unanipenda aiseee [emoji847]
Nimeona tag yako kweli nilipoingia.

Maisha yanakaba hadi tunashindwa kuweka bando [emoji2].
Nilikuwa mapumziko kidogo,ilikuwa special week kwangu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ilikuwa special kivipi?

Uliwezaje kuweka simu pembeni hasa jf ili ufurahie week yako special?
 
Soon unamkaribia.

Nimeona umeshatupia ramani kule[emoji4]nikasema eeeh mambo si ndo haya,mama amefungua nchi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Aah no, ile hainihusu hata kidogo. Ni mtu alitaka challenge tu ya kile anafikiria kufanga - na +, habari za mama achana nazo kabisa...japo kuna wengine kweli kawafunguliaπŸ˜…πŸ˜…
 
Ilikuwa special kivipi?

Uliwezaje kuweka simu pembeni hasa jf ili ufurahie week yako special?
Niliweza tu,
Nilijicommit tu nikatulia.
Japo Kuna washenzi wachache wakataka niharibia wiki yangu.

Nilikuwa kwenye transformation period,kuna hatua nilikuwa napiga.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Aah no, ile hainihusu hata kidogo. Ni mtu alitaka challenge tu ya kile anafikiria kufanga - na +, habari za mama achana nazo kabisa...japo kuna wengine kweli kawafungulia[emoji28][emoji28]
Si useme tu kuwa unaupiga mwingi mjomba!
Ujue nimeongeza maombi ukamilishe.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…