Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Sijasahau Alicia keys ulisema ukinywa chai unatupia 😎😎Asubuh hutakiwi kushiba sana 😀😀
Sijasahau Alicia keys ulisema ukinywa chai unatupia 😎😎Asubuh hutakiwi kushiba sana 😀😀
😀😀 sawaAsubuhi ni afya zaidi
Kutoa stress za gesi
Bado nakunywa chai et 😃🚶♀️Sijasahau Alicia keys ulisema ukinywa chai unatupia 😎😎
Pole SanaSijambo mpwa....
Waendeleaje huko?
Nilikwama njiani....
Kuna daraja limevunjika hapa Misungwi yaani usafiri shida tupu.
Zawadi itakufikia tu...afe kipa afe refa.
Ndugu zangu wanasemaje huko?
Bado wanakuletea mazagazaga lakini?
😬😬😬😬😬 chai mda wote jamaniBado nakunywa chai et 😃🚶♀️
Hii tunakuona unakagua mizigo bandarini!
Kumbe mtoto mdogoKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Ndioo😂😂😂Tena aniache miles nyingi 🤣
Eeh 😍😍😍Nywele![]()
Kuja kipande hiki nime miss 😘😘
Nakujaa🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Kuja kipande hiki nime miss 😘😘
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🥰🥰🥰🥰🥰🥰Nakujaa🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Chukua hiyo shati kali uje location tuselfike

☺️☺️☺️Chukua hiyo uje location tuselfike![]()
Jibu PM za Wasukuma tu....
Kumbuka hilo jimbo umetupa Wasukuma baada ya kuchoshwa na wala maparachichi....
View attachment 2248866



sawa 
hahahahahaha,dah
Tunaendelea kuizoea taratibu tutaona kawaida tuKwema mnaendeleaje na New User Interface ya jamiiforums?