Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Bablai si unajua hichi kifolen cha hapa..
Nakaribia lakini
Mambo ni hivi [emoji91]View attachment 1252806
Kaufikisha salama[emoji23][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Daaaàaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka tu niwaringishie watu kwenye huu Uzi[emoji16]
Kaufikisha salama[emoji23]View attachment 1252807
Wewe apo jamaniHahahaaaa yukowap huyo
Kaufikisha salama[emoji23]View attachment 1252807
acha hizo mkuuKaribu sana mkuu, mibs pametulia ila kwa level zako juliana panakufaa
Tunazungumzia nini kwaniUngependelea nifanyeje dada mpendwa?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kweli uliona mwenyewe kabisa!Naongea na baba yetu, nashukuru inawezekana niliona peke yangu kabla fagio halijapita. Hiyo rangi, midomo tu..dah watu wanafaidi.
Huu mzigo nishaununulia k vant kubwa ya kuchanganyia...alooo atakufa mtu[emoji23]
Upo fastaaa leo ni [emoji91][emoji91]
Leo siyo dkk 90 ni 120[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa fundi sana, halafu watu wanafaidi jamani!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kweli uliona mwenyewe kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona inawekwa ya jumatano [emoji23][emoji23]
Mimi si unajua silewagi mapombe makali tu, lakini hizi laini laini sinaga ujanja nazo