Hongera Sana aseehh!Asante shemeji.
Mimi pia kabisa namshukuru Mungu.
Binti hajambo kesho graduu anamaliza Middle School....
Japo kwa shingo upande ngoja nimuulizie hata huyo mushaija. Hajambo? [emoji51][emoji51][emoji51]
Labda late dinner maana nshaanza kushiba 😋😋Shuka hapo makumbusho basi tupate dinner
Yuko very relaxed 😌Yule mtoto aliyelala juu ya TV showcase 😀😀😀
Yupp!!😊Hawa wanao?
Late dinner ndio nzuri sasa sii ndio unakuja umevaa kale kadress katamuLabda late dinner maana nshaanza kushiba 😋😋View attachment 2242386
Nalinda uzi usiibiwe😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona wewe upo huku???🙄🙄
Kale nimekafua hakajakauka 😆😆Late dinner ndio nzuri sasa sii ndio unakuja umevaa kale kadress katamu
Hivyo hivyo na wenzio 😁😁Nalinda uzi usiibiwe😅😅😅
Huwezi kosa kagauni kengine katamu bwana nakuaminiaKale nimekafua hakajakauka 😆😆
Watoto wa magetini hata humjui kuna kitu kinaitwaga Kauka nikuvae! 😏😏Huwezi kosa kagauni kengine katamu bwana nakuaminia
[emoji849]Siku nyingine sasa chimbo unalovamia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Hadi moyo wako unanuna. Uwiiiiiih
Watoto wamagetini wapi wewe...acha zako nenda katafuta kagauni katam flni hivi tende dinner mrembo oh bahati hizi haziji mara mbili mbili baadae utaanza kuja love connect unatafuta mume sifa awe anapumua tuuWatoto wa magetini hata humjui kuna kitu kinaitwaga Kauka nikuvae! 😏😏
Achana na mbavu zangu mzabzabWatoto wamagetini wapi wewe...acha zako nenda katafuta kagauni katam flni hivi tende dinner mrembo oh bahati hizi haziji mara mbili mbili baadae utaanza kuja love connect unatafuta mume sifa awe anapumua tuu
Na hii uankumbuka wapi [emoji16][emoji16]View attachment 2242109
Acha nimuahie shangazi yangu Strawbella hii ngoma View attachment 2242181
Ata sketi poa tuu...ila iwe ile ikisimama inafunika goti alafu unapiga na high heels zako....juu upige ki sleeveless blouse mie nitakuja na mkufu wa pearl na earings zakeAchana na mbavu zangu mzabzab
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Imebidi nijiulize kama kuna siku itafika niwe desperate namna hiyo 🤔🤔
Ngoja niangalie hata kasketi basi...
Mahindinya kuchoma haya...sasa wee kweli unakuja dinner mbona akama dinner wala mwenyewe
Hongera zimefika shem...Hongera Sana aseehh!
Mpe hongera zakee kabinti ketu
Yuko poa Kama Jana Kama juzi Mungu mwema!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vumilia tu