Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… chusi za design ipi hapa
View attachment 2241967

alafu chini tuchukue nike au adidas ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Haha FIB yupo kalala , bora Big boy kapiga heavy brekfast muombe sasa ruhusa badae nakupitia ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Aisee mbona zote ni kali๐Ÿ˜๐Ÿ˜
I'll go with yenye iko na yellow logo๐Ÿ˜‹

Ruhusa nishamuomba, kazi yangu kumuandalia lunch kabisa then nasepa
 
Aisee mbona zote ni kali๐Ÿ˜๐Ÿ˜
I'll go with yenye iko na yellow logo๐Ÿ˜‹

Ruhusa nishamuomba, kazi yangu kumuandalia lunch kabisa then nasepa
Basi tuchukue wote hiyo hiyo sale saleee eeh๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hapo ndio namuelewa sana Big boy mzungu sanaa yaani.. rohoo nyeupe safi sana
 
Chapati tayar mje na supuView attachment 2241935
KARIBU
IMG_20220528_092946.jpg
 
Basi tuchukue wote hiyo hiyo sale saleee eeh๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hapo ndio namuelewa sana Big boy mzungu sanaa yaani.. rohoo nyeupe safi sana
Sare sare ndio mpangoooo๐Ÿ˜‹

Big boy hanaga baya na mtu... roho + matendo ya kizungu ka wewe tu.
Au mna kaundugu hatujagundua?๐Ÿ˜›
 
Na mie roho nyeupe ndio maana damu zimeendana kabisaa yaani sio unaona hata wewe na FIB hakuna nomaa kabisaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Perfect match๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mungu atuweke muda mrefu kwakweli๐Ÿ™
Tuendelee kuenjoy each other's company
 
Back
Top Bottom