Mbali huko sanaNimesubiri sana
Nimeanza mdogo mdogo
Napita kiba mida hii
Subiri na wewe zamu yakoo utaju hujui maana uliniacha kwa masimangoo sanaa nakuweka nuclear kabisaa π πView attachment 2241148
π¬π¬π¬
πππ Big boy yupoUsikae mbali na wasapu status zanguπ
Unanilipua na kiumbe chako kilicho tumboni au unasubiri kizaliweπ¬Subiri na wewe zamu yakoo utaju hujui maana uliniacha kwa masimangoo sanaa nakuweka nuclear kabisaa π π
Nasubiri kitoke kwanzaa ila nisubiri hadi kifike secondary ndio nikulipue π π πUnanilipua na kiumbe chako kilicho tumboni au unasubiri kizaliweπ¬
Yupo kajaa teleπππ Big boy yupo
Una ngozi laini tena ya kung'aa
Hivi hii nyimbo ipo kwenye A.k.A Mimi?
Unasura nzuri na tabia ya kuvutia unaweza kuishi popote katika hii dunia ....Una ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwendaππ₯π₯π₯
Siwezi kuita hi limbwataa nakataa π π πUna ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwendaππ₯π₯π₯
Una ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwendaππ₯π₯π₯
Kwako nishafika na nafsi yangu ishakitaπ₯π₯Unasura nzuri na tabia ya kuvutia unaweza kuishi popote katika hii dunia ....
Harufu yako ya marashi π π π
Naona uko na Power bankπView attachment 2241189
Muambie Big boy narudi Dar π π π
Ngoma za zamani zilikua kali sana aiseeIpo kwa Pro JizeView attachment 2241187
Una tabasamu pana la huba , na sauti nyororo kweli kwako nakili umenifunga minyololo πππKwako nishafika na nafsi yangu ishakitaπ₯π₯
π π π π muhimuu hivi narudi huko kwa kina Big boyNaona uko na Power bankπ
Ndio tunaanza kutokaUpo mbele
Ama nilikotoka[emoji848]
Najiona niko ndotoni, nadeka kama utotoniUna tabasamu pana la huba , na sauti nyororo kweli kwako nakili umenifunga minyololo πππ