Selfika na JF: Snap it. Show it

Teacher
 
Fanya mazoezi basi kunywa maji mengi usipake mavitu mengi usoni punguza kula katapera

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Tangu nitoke Mbeya parachichi nakula kwa tochi.
Natumia tu kwenye juice.

Mazoezi purukushani za hapa na pale ni mazoezi tosha.

Unadhani hata napaka mavitu usoni basi??
Hata mafuta huwa sipaki.
 
Tangu nitoke Mbeya parachichi nakula kwa tochi.
Natumia tu kwenye juice.

Mazoezi purukushani za hapa na pale ni mazoezi tosha.

Unadhani hata napaka mavitu usoni basi??
Hata mafuta huwa sipaki.
Hii kauli ya maisha yangu tayari mazoea tosha ndo inayofanya watu wazima wapate sana TIA na stroke saiv

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…