Mshituko 4:1--3
[emoji120] kwa neno zitoTukisema hatuna dhambi twajidanganya wenyewe Wala kweli haimo ndani yetu..Bali tukiziungama na kuziacha Yeye Ni mwaminifu na wa Haki hata Atusamehe na kutusafisha.
Halafu ambao hawana vitambi si hawana hela dada eeh
Vaa tena banaaYaaaniii
Mesahau kujifotoa jamani, nishavua gauni langu la kitenge
😂😂😂😂😂😂Mimi zangu Ni zilezile.
Za j2 ndiyo hizo hizo za katikati ya wiki
HaleluyaaaMwana- kondoo ameshinda[emoji120]View attachment 1252610
Amina sana mtumishi🙏🏽🙏🏽Bwana asifiwe[emoji137]
Yaani avae tena kwa ajili ya picha tu?😆Vaa tena banaa
Mbona kazi nyepesi hiyoYaani avae tena kwa ajili ya picha tu?😆
......na udhalimu wote.Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wenyewe Wala kweli haimo ndani yetu..Bali tukiziungama na kuziacha Yeye Ni mwaminifu na wa Haki hata Atusamehe na kutusafisha.
😆😆😆Mbona kazi nyepesi hiyo
Naombeni Injili ya Leo Sakayo Saint anne
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji85]Ustaadhat katika ubora wake...
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nifanye nini nasubiri uniambie.Mshituko 4:1--3
Naam,nae Dan Pol aliposhika simu mpapaso yake , akaingia jf, macho yake yalishtusha na na picha ya doll doll, akajiuliza je, huyu sie ? Naam , huyu ndie..basi ewe doll doll hebu fanya jambo
Huyu hapaMshabate ndio nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe
Nimesahau kupiga picha.