Selfika na JF: Snap it. Show it

Nani kasema kufunga ndoa ni bure? Kabla ya kufunga ndoa wazazi wa binti watakubali aondoke bila kupewa "asante" yao?
Kwanza mnawaonea vijana sana!
Asante ni jambo la kawaida
Na vitu vya kawaida tu hutolewa.

Kwa kijana mwenye shauku ya kutaka maisha ya ndoa mbona anatoa tu.

Tunawaonea vipi?
Au nasisi tuanze kutoa Asante??😆
 
To you dada..
it's the days that matter,
for we are unable to chat
in the language we had..

🎶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…