Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,361 Lucas Mobutu said: Size ya mikono,miguu,mgongo So ni rahisi kukujua Siku nikiiona na face,hata nikitangulia mbele za haki nitaenda kwa amani Click to expand... Mmh Mobutu
Lucas Mobutu said: Size ya mikono,miguu,mgongo So ni rahisi kukujua Siku nikiiona na face,hata nikitangulia mbele za haki nitaenda kwa amani Click to expand... Mmh Mobutu
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,362 Shunie said: Mmh Mobutu Click to expand... Hahaha ndio Mpaka tabia,nimegundua una hasira sna
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,520 Reaction score 830,064 Nov 3, 2019 Thread starter #20,363 Shunie said: Hahahah ebu weka kaka nione jamani mimi mdogo wako sina madhara kabisa Click to expand... Sio nzuli niko sina nguo
Shunie said: Hahahah ebu weka kaka nione jamani mimi mdogo wako sina madhara kabisa Click to expand... Sio nzuli niko sina nguo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,520 Reaction score 830,064 Nov 3, 2019 Thread starter #20,364 Hata mimi pia Shunie said: Nimeingia nimekuona Click to expand...
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,365 Mshana Jr said: huwa nabadilika kulingana na mazingira na matukio.. Kwa mfano kama nikiweka ya sasa hivi muda huu.... Warembo wote humu hawatajibu hata PM zangu Click to expand... Hahaha ndio maana Lakini wewe si una yule demiss Itupie tu ,maana shunie anadai lazima aione
Mshana Jr said: huwa nabadilika kulingana na mazingira na matukio.. Kwa mfano kama nikiweka ya sasa hivi muda huu.... Warembo wote humu hawatajibu hata PM zangu Click to expand... Hahaha ndio maana Lakini wewe si una yule demiss Itupie tu ,maana shunie anadai lazima aione
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,520 Reaction score 830,064 Nov 3, 2019 Thread starter #20,366 hazifanani kabisa Lucas Mobutu said: Hahaha ndio maana Lakini wewe si una yule demiss Itupie tu ,maana shunie anadai lazima aione Click to expand...
hazifanani kabisa Lucas Mobutu said: Hahaha ndio maana Lakini wewe si una yule demiss Itupie tu ,maana shunie anadai lazima aione Click to expand...
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,367 Transcend said: Niko nakula supu hapa Redstone.. Napita hapo chap Click to expand... Redstone Kuna supu kumbe,ni ya kongoro au
Transcend said: Niko nakula supu hapa Redstone.. Napita hapo chap Click to expand... Redstone Kuna supu kumbe,ni ya kongoro au
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,368 Mshana Jr said: Sio nzuli niko sina nguo Click to expand... Usiweke,shunie wangu asijekushindwa kulala,maana mshana hukosi li hirizi kubwa kiunoni
Mshana Jr said: Sio nzuli niko sina nguo Click to expand... Usiweke,shunie wangu asijekushindwa kulala,maana mshana hukosi li hirizi kubwa kiunoni
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,369 Mshana Jr said: hazifanani kabisa Click to expand... Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri
Mshana Jr said: hazifanani kabisa Click to expand... Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,370 Lucas Mobutu said: Hahaha ndio Mpaka tabia,nimegundua una hasira sna Click to expand... Nina hasira kwakweli mtu akinikorofisha
Lucas Mobutu said: Hahaha ndio Mpaka tabia,nimegundua una hasira sna Click to expand... Nina hasira kwakweli mtu akinikorofisha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,371 Mshana Jr said: Sio nzuli niko sina nguo Click to expand... Eeeenh huna nguo tena usiweke nitaota
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,372 Mshana Jr said: Hata mimi pia Click to expand... Hahhaha sawa bwana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,373 Lucas Mobutu said: Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri Click to expand... Hahhahah kwani ile picha ni yeye kweli
Lucas Mobutu said: Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri Click to expand... Hahhahah kwani ile picha ni yeye kweli
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,374 Shunie said: Hahhahah kwani ile picha ni yeye kweli Click to expand... ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisa
Shunie said: Hahhahah kwani ile picha ni yeye kweli Click to expand... ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisa
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,984 Nov 3, 2019 #20,375 Shunie said: Nina hasira kwakweli mtu akinikorofisha Click to expand... Hahaha,Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheni
Shunie said: Nina hasira kwakweli mtu akinikorofisha Click to expand... Hahaha,Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheni
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,376 Tupate tangazo la wadhamini kidogo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,377 Lucas Mobutu said: ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisa Click to expand... Hahahha itakuwa sio yeye bwana
Lucas Mobutu said: ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisa Click to expand... Hahahha itakuwa sio yeye bwana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Nov 3, 2019 #20,378 Lucas Mobutu said: Hahaha,Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheni Click to expand... Hahhaha Mobutu bwana
Lucas Mobutu said: Hahaha,Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheni Click to expand... Hahhaha Mobutu bwana
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,226 Nov 3, 2019 #20,379 Karma said: Kheeee mkuu hebu angalia tena vizuri aiseeMimi ni kibonge mbona au angalia kwenye picha nyingine hizi hapaView attachment 1252268View attachment 1252269 Click to expand... Kama kawaida umeficha virungu vya ngoma πππ
Karma said: Kheeee mkuu hebu angalia tena vizuri aiseeMimi ni kibonge mbona au angalia kwenye picha nyingine hizi hapaView attachment 1252268View attachment 1252269 Click to expand... Kama kawaida umeficha virungu vya ngoma πππ
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,346 Reaction score 17,669 Nov 3, 2019 #20,380 Shunie said: Tupate tangazo la wadhamini kidogo View attachment 1252454 Click to expand... Mbona kama kanandy.
Shunie said: Tupate tangazo la wadhamini kidogo View attachment 1252454 Click to expand... Mbona kama kanandy.