Eeh sasa shemeji ametokea wapi tena jamani ,ππππNataka nije nikutambulishe shemeji yako,
Maana ananiuliza huyu mzabzab anafananaje[emoji41]
Nachat nawe huku naangalia picha yako na hakika si wewe yuleπ©Ng'woooooo πππ
Changamka bwana sexy body hilo lipate mmiliki halaliAaah
Sawa ahsante kwa ushauriChangamka bwana sexy body hilo lipate mmiliki halali
dear X π π πNachat nawe huku naangalia picha yako na hakika si wewe yuleπ©
Ila usisahau kumpitisha kwangu nikupe go ahead ama ni mpigaji tuu huyoπ€£π€£π€£Sawa ahsante kwa ushauri
Kama hivyo fresh, kesho mchana niko hapo tupige lunch woteπhapana mie sitoki bwanaaaaa ππππ ujeee bwanaaa
Mbona ufanani nae kuanzia vituko vyako jukwaani nadhani ni picha ya ku google ileπ¬π¬π¬dear X π π π
Mbona kulia tena shemeji[emoji50],Eeh sasa shemeji ametokea wapi tena jamani ,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kila jambo na wakati mkuu Wakati wake utafika tu ππ!!Kweli kila mtu na uzuri wake...sasa nashangaa hyu mrembo moaka leo hana kidume analipapasa tako hiloπ€£π€£π€£π€£
πππππMamaaa πππ
πππ ndio mimi hapa dear XMbona ufanani nae kuanzia vituko vyako jukwaani nadhani ni picha google ileπ¬π¬π¬
Kuna watu ni mawaziri humu ila ukiona vituko vyao unabakii unajiuliza huyu ndio muwakilishi wetu π€·πΌββοΈπππ ndio mimi hapa dear X View attachment 2237419
ndio shangazi ni kigauni!!
Dear X nime miss sana tangaa π π πKuna watu ni mawaziri humu ila ukiona vituko vyao unabakii unajiuliza huyu ndio muwakilishi wetu π€·πΌββοΈ
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nilikatazwaaa na chombo ua fundi kumbe kuna siku ilichungulia Id yangu.. sasa jana ikaanza kunichambaaa inaniambia inaona tu ninavyo jifanya kichaa hukuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Wee njoo tuu wala usijali kwanza nitawatembeza mshangae shangae jijiMbona kulia tena shemeji[emoji50],
Hutaki[emoji6]
Kimechana mkekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitaalam inaitwa abiria chunga mzigo wako...