Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi kama pigo za kihome home flaniii hivi [emoji28][emoji28][emoji28] unaenda kisimani hivyo [emoji91][emoji91][emoji91] acha niache ku imagine nipite zangu kushoto [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Linda lango lako la mawazo!
[emoji3]shauri yako
 
Nimeclick hizo link kwa kasi ya 5G lakini wapi, nikajua mtandao shida nimetoka mpaka nje naona Ooops! nikasema tayari...
Nini kimetokea mkuu?
Acha kabisaa, Nilikuwa natoa report kazini nikabakia naongea vitu havieleweki havihusiani na kazi hadi nikakata simu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwanza akili ikae mahala pakee Ebu jaribu kumuomba mahondaw shangazi anaweza fanya jambo kwa ajiri yako
 
πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ˜œ
 
Mbona kisimani mjombaπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ€”πŸ€”πŸ€”!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Visimani kuna mambo hata Rebeka alidakwa Kisimani ... nimekumbaka mbali sana enzi za kuchota maji kisimani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nilikuwa nakaa kama moses waje watoto wakali nawapambanie wapate maji haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…