Tunamitazamo inayofanana sana kuhusu tunavyochukulia maisha. Asubuhi nakimbia kidogo natoka jasho, naingia kibaruani, jioni natembea sana ufukweni.
Tatizo lipo kwenye kula na kulala, ratiba haijakaa vizuri Bado. Lakini nakufanyia kazi.
View attachment 2236428