alafu nilidanganya ile nasema nipo Lugalo nilikuwa NDC kunduchi πππ nilipofika tangi bovu nikasema nipo mwenge , nilipofika lugalo nikasema nimefika π
π
π
π
π
June nipo hapa hapa Dar - Moro - Dodoma - Shinyanga kati ya hii mikoa π
π