Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23]jamani ottawa aliogopwa aisee,hivi sheli yake bado ipo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kamaliza watu yule mbwaaa, baadae akaanza biashara ya viungo vya binadamu, akamtumia mama chaulembo na kampuni ya majambazi (machuna ngozi)

Ila jaman Songea imepitia wakati mgumu mnooo. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]

Shell ipo ila haifanyi kazi.
 
Jile ya mama chaulembo sio ya kitoto,nyau alijua kutetemesha yule,tena atubu kabisa
 
Wakinga mnaitwa huku [emoji16]
 
vitoto ni shidaa mfano mwepesi ni hapa selfi, Ukiomba picha kwa Mashangazi wetu fastaaa, ila omba vitoto sister mtakeshaaa yaaani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mashangazi kwakweli waishi milele
🀣🀣🀣🀣
Mbona wanatumaga sana tu, labda unakua busy muda mwingine
 
Babu,nilivyo na wenge moyo ungestop yaani,
Afadhali hukuwamo!

Mungu Awape ahueni majeruhi.

Maisha yetu wanadamu. Unatoka home uko mzima unarudi huna mkono au unaishia kwenye freezer mochwari. Ni kujiweka tayari kila siku maana hatujui siku wala saa japo mbwembwe za dunia hii zinatupotezea fokasi...Mungu na Atusaidie [emoji1545]
 
Aisee tulia hapo hapo, wa hivyo sikuhizi wachache sana.😍
Wapo wengi tu, shida ni moja walio brand new wengi vitoto vya kishua, uswazi kukuta ni mtihani kwasababu wengi hali za kimaisha zina waingiza kwenye mahusiano wakiwa bado wadogo sana.. mie kuna kamoja kiduchu nikachukue hako sasa hivi kana fanya Degeree ya Medical Doctor nje awali kalikuwa kana diploma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vya ushuani vingi bado
 
Acha tu bageshi, inafikirisha sana.
Mungu pekee atulindeπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…