Poooleeeeee.....Eti nimepitwa🤣🤣🤣
Pole sana we dada.....🎵🎶🎼
Poooleeeeee.....Eti nimepitwa🤣🤣🤣
Nkamu hadi unaniimbia Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Poooleeeeee.....
Pole sana we dada.....[emoji444][emoji445][emoji443]
Nkamu mimi nilikwambia siyo mchoyo unaona sasa?
😅😅 hii hesabu inakataaa, acha nipngee na zone manager wa kanda ya ziwe upewe invitation letter ya ka jambo flani kwa siku we unachukua lakini tano, ambayo kwenye 3.5 million ambayo itabaki baada ya afande kuchukua yake laki tano inakuwa siku 7 kesi tuimalize kesho hiyo hiyoTunawaambia kesi inaenda kusikilizwa mwanza n ndugu hawaruhusiwi watapewa tu feedback.
Fasta tunasepa zetu kwa amani😂😂
Hatare sana weye na kumbe una vidole vizuri ivo kha!!Utamsimulia Heaven Sent
Nkamu mimi nilikwambia siyo mchoyo unaona sasa?
Nasubiri selfie yako nkamu
Mimi nitarudia baadaye jioni jioni
Acha niimbe tuuu maana nimeamua kujitutumua live na kitu kimekaaa hapa muda wa kutoshaNkamu hadi unaniimbia Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepitwa hapahapa kama kawaida yake Ameweka sekunde mbili kafuta!Eti nimepitwa🤣🤣🤣
Kweli lazima ameweka sekunde 2Umepitwa hapahapa kama kawaida yake Ameweka sekunde mbili kafuta!
SitakiAcha niimbe tuuu maana nimeamua kujitutumua live na kitu kimekaaa hapa muda wa kutosha
Ili niondoe lawama lkn sijui ulijificha wapi??
Naomba urudie tafadhali
Naomba urudie tafadhali
Kweli lazima ameweka sekunde 2
Hatutumii mayai ya kisasa[emoji39]
Mje na sodaView attachment 2234380
Kwa hapa hata mimi nitakaribiaHatutumii mayai ya kisasa[emoji39]
Mje na sodaView attachment 2234380
Hahaha kumbe unasakwa nkamu? Kina nani hao?Imekaa dk 5 huoni hadi nime quote nkamu
Niko na RB hapa siweziweka hiyo ya live muda mrefu natafutwa kwa udi na uvumba
Huyo anayerusha vocha selfika ni nani??
Nishasahau..Pole mnoo pilot usiwe ivo wee mwanaume ujue!!
Wasiojulikana nkamuHahaha kumbe unasakwa nkamu? Kina nani hao?