It's my life
It's now or never
But I ain't gonna live forever
I just want to live while I'm alive
(It's my life)
My heart is like an open highway
Like Frankie said, "I did it my way"
I just want to live while I'm alive
It's my life
Hakika u mpishi mzuri, chapati za namna hiyo nimekula enzi za miaka ya 2000 chapati laini achana na mapishi ya sasa unakula chapati kama mkate, wadada wa sasa sijui wanayumba wapi
Hakika u mpishi mzuri, chapati za namna hiyo nimekula enzi za miaka ya 2000 chapati laini achana na mapishi ya sasa unakula chapati kama mkate, wadada wa sasa sijui wanayumba wapi
E Bwana.
Kwanza wewe umezionaje chapati?😃
Na hapo mara ya mwisho nimepika sijui ni January..tangu hapo ndio napika leo...imagine nikifululiza kisukuma mara kwa mara zitakavyokuwa nzuri.