Selfika na JF: Snap it. Show it

I’m okay…
I’m alright..
I’m shining..
I’m bobbling…
Can’t you see, what I see
When you ask me how I’m doing..
🎶 🎵
 
Naona tumguu twa bia karithi kwa rich aunt ake😍😂😂

Mwambie ntakatumia hela ya 🍕 badae
😂😂😂 weka mbali kitu ya ukoo.. inasambaa kizazi kwa kizazi


Weee usimpromise huyu chalii 😂 atakuganda uzime simu
 
Mwenzio kakusubiri adi kachoka jamani😂😂

Nenda kampikie ili akiamka unamlisha tu, katakua na njaa zaidi
😀😀😀 Akiamka anakuwa kashiba ... kana njaa za alfajiri tuu ila ikifika saa tano hakunaga anae angaika na mambo ya chakula hapo ... sasa hapa nilo out na mie nilale 😀😀😀 bado hujanipa upatde ya chimbo tufanye ku buku mapemaa
 
Siku zote adui yako muombee njaa


Hapo wangekuwa wakenya ungecheka sana + wanavyo comment nusu ngeli nusu swahili mbovu
Mimi mwenyewe nimefurahi Orlando walivyokosa ubingwa hahah .. walitushtaki sisi CAF wakaona wamefika wenyewe


Na wana kiswahili kibaya kweli
..
 
Lala kwanza umpe kampan FIB😊

Ukiamka utakuta nishapata nimekutumia chemba tufanye booking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…