Huku Big boy nilimpikia supu na chapati zake za kutosha ashibe tuwe busy na movie.π π π acha tukapike sie tule tupige mastory.. usisahu muandaa kisaikolojia Big Boy ivi lini tunaondoka
Muhimu sanaaa π€£π€£Hahaaa hua unadoea uji wa babygirl eeh
Safi sana supu ya pweza au changu au kaa na prons ππ Mna enjoy sanaaHuku Big boy nilimpikia supu na chapati zake za kutosha ashibe tuwe busy na movie.
Mpike mshibe, mrelax leoπ
Safari yetu itakua mid next week, jiandae plsssπ π π acha tukapike sie tule tupige mastory.. usisahu muandaa kisaikolojia Big Boy ivi lini tunaondoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahKwani basi lote unakuwa peke yako unamkalia hata dereva
Supu ya pweza, nimemjazia kama wote ashindwe yeye tu kushibaπSafi sana supu ya pweza au changu au kaa na prons ππ Mna enjoy sanaa
Eneo la tukio bado hujanipenyezea nyepesi nyepesi ππSafari yetu itakua mid next week, jiandae plsss
π€£π€£π€£π€£ kwel mama mtu unatakiwa nawe ule vinonoMuhimu sanaaa π€£π€£
Si namjazia maziwaβ¦
Amenβ¦.Psalms 62:5
[5]My soul, wait thou only upon God; for my expectation is from him.
Nafsi yangu, umngoje Mungu peke yake kwa kimya. Tumaini langu hutoka kwake.
Good morning...
ππππ safi sana inaongeza sana damu na ina virutubisho vya kutosha.. huwa nikipiga hiyo hadi kajasho huwa kanatokaSupu ya pweza, nimemjazia kama wote ashindwe yeye tu kushibaπ
Maisha ni haya haya, tuenjoy tu hamna namna
Naona tumguu twa bia karithi kwa rich aunt akeπππ
Inakua balaa hapo full energy.ππππ safi sana inaongeza sana damu na ina virutubisho vya kutosha.. huwa nikipiga hiyo hadi kajasho huwa kanatoka
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] portableee.Glitter is for kids...
View attachment 2232727
Eeh wacha niingie chimbo nisake.Eneo la tukio bado hujanipenyezea nyepesi nyepesi ππ
π π π au basi niahirishe.. au unatengeneza nini hapoInakua balaa hapo full energy.
Mchana nitampikia dona na samaki + mchichaπ
Vidole vyenye pete vinapendeza sana ila viwe vimenyooka sio kama panga πππ umependezaGlitter is for kids...
View attachment 2232727
πππππ π π au basi niahirishe.. au unatengeneza nini hapo
π π π kamepatiwa na usingizi tayari .. hadi kaamke ndio tukapikeππππ
Weee FIB anakusubiri ujue mkapikeπ€£