Selfie in Hong Kong

Selfie in Hong Kong

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
crazy-russians-1.jpg
 
Hahaha hawa jamaa napenda saana kuwaangalia Youtube . Aisee hatari wanayoifanya ..unaweza ukasisimuka Mpaka basi Verry Dangerous Game ...
 
Hahaha hawa jamaa napenda saana kuwaangalia Youtube . Aisee hatari wanayoifanya ..unaweza ukasisimuka Mpaka basi Verry Dangerous Game ...

Binadamu tumeumbwa tofauti sana
 
Hizi ndiyo sehemu zinazovutia kupiga "Selfie", siyo wale wapendao kupiga "Selfie" chooni kwa sababu kuna marumaru nzuri na taa za kumeremeta, alafu wanaandika "Home sweet home". Kumbe ni kwenye vyoo vya "public" au vya ofisi.
 
Back
Top Bottom