Self-taught African Teen Wows M.I.T.

Self-taught African Teen Wows M.I.T.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Huyu Dogo hajambo. Katika umri huo bila shule ametengeneza Radio? Kweli ana kipaji.

Last edited by a moderator:
Inspiring, ingawa bado hatujapata inventions zitakazobadili maisha. Hizo ndizo nazotamani!
 
Yupo jama mmoja alivyokuwa lasaba alitengeneza. Computer ya mbao,alisginda cheti tu na wazungu waikuja mchek na kupiga picha nadhani costech wali chukua hyo pc ila dogo wakamwacha hadi leo vitu vingine alivyo fanya ni kumiliki radio station yake mwenyewe ingawa alikamatwa na kufunga station hiyo pia aitengeneza wireless phone isiyo tumia vocha na mahineya kusaga na kukoboa .pia alikuwana michoro ya jins ya kuzalisha umeme.hapa naongelea miaka ya 1999 pale boma ngombe,serwkali haikutambua kipaji cha bwana huyu had sasa ni mtu mzima nacourse alizo soma ni mascom na Ma ya tourism.kipaji ndo kime kufa hvyo.picha ya yote nlio ya taja hapo ninazo kam ushaidi kwani mi mwenyewe siku amini hadi nlipo ona pic
 
Nitupie picha na details zaidi mkuu
 
Inspiring, ingawa bado hatujapata inventions zitakazobadili maisha. Hizo ndizo nazotamani!

yap mkuu mi kila siku nikisema hapa watu wanaona sjui vp, si tatizo letu tunaunga unga tu vitu vya wazungu na kuanza kujisifu hatuna invention kabisa, hatuleti kitu kipya ambacho kitamfanya mtu atoe mamilion yake akufadhili ukiendeleze.

Mfano hebu angalia hizi invention za 2012 zisizohitaji hela simple tu.

Artis wa kidutch Berndnaut
Smilde ye kagundua kueka mawingu kwenye chumba yani hapo kamaintain temperature, humidity na light tu na kitu kimekaa hivyo kama mawingu
indoorclouds.jpg

source cheki hapa
Indoor Clouds | Best Inventions of the Year 2012 | TIME.com

nyengine hii imetumia projector na meza yenye mchanga projector inatoa rangi kutokana na eneo na urefu
mfano hapo chini
-blue mlima
-green ardhi ya miti
-yellow uwanda wa chini kama jangwa

kwa kutumia rangi jamaa anashape ramani kwa mchanga
simtable.jpg

source
Lytro Light Field Camera | 5 Cool Inventions from TIME's New '50 Best Inventions' Issue | TIME.com
 
very inspiring, watu wamebarikiwa vipaji mpaka raha ila mhh sina usemi kwa nchi yetu tanzagiza :tape2:
 
Back
Top Bottom