Mimi ninaona unawaonea hao wapiganaji bure, hali ya kisiasa cha nchi zetu hizi changa ni ngumu kwa mtu yoyote yule kwenda full throttle, kwa sababu ya usiri wa uendeshaji wa Serikali zetu na nyenzo nyingi za habari na ulinzi na usalama kuwa mikononi mwa mafisadi, na pili uelewa mdogo wa wananchi.Bubu Ataka Kusema,Mkandara,FMES,
..I believe we will not get to the bottom of this scandal bcuz Mwakyembe & Co, do not have the full support of the President.
..sasa pamoja na ukweli huo, I dont see "wapiganaji" wakija na plan B.
..vilevile zile kauli za "WAPIGANAJI" kwamba JK ndiyo amiri jeshi wa vita za ufisadi, naamini ni USANII tu. ingekuwa ni hivyo Rostam asingekuwa na jeuri ya kujihusisha na Dowans waziwazi kiasi kile.
..binafsi niko frustrated na serikali, Bunge, pamoja na "wapiganaji."
acheni siasa hapa ripoti ipi iliyo MOTO..basi utakuwa ni moto ambao haaunguzi .ni muda gani tokea ripoti isomwe na hakuna la maana linalofanyika..mapak wahusika wanafikia umri wa kustaafu na wanaondoka wakikabidhiwa mafao yao...kweli tanzania ni kisima cha ngonjera
Mimi ninaona unawaonea hao wapiganaji bure, hali ya kisiasa cha nchi zetu hizi changa ni ngumu kwa mtu yoyote yule kwenda full throttle, kwa sababu ya usiri wa uendeshaji wa Serikali zetu na nyenzo nyingi za habari na ulinzi na usalama kuwa mikononi mwa mafisadi, na pili uelewa mdogo wa wananchi.
Sasa ndio watu pamoja na wabunge wanaanza kuelewa umuhimu wa wao kutumia nguvu au uwezo walio nao katika kulipigania taifa.
mfano angalia sasa hivi tu "hao wapiganaji" wanavyo jaribu kuchafuliwa ili kupunguza makali ya hiyo report, sasa isingekuwa sasa hivi na haya mambo ya wavuti, na blog tungekuwa wapi au wangekuwa wapi hao wapiganaji?
kuhusu Bunge pia lazima uelewe kuna wengine wamekwenda kule hata hawajui wamekwenda kufanya nini? wapo wapo ndio matokeo yake unasikia kauli kama za kina Serukamba, Makongoro, etc na kuna wengine labda hawa zungumzi lakini ukifika wakati wa kupiga kura waaangalia nani aliwapa billioni 2 za kuzima richmond, au kuangalia Kaka yupo upande gani.Ukiwa frustrated na serikali hapo ni sawa maana tuliwategemea wafanye mambo kwa kufuata ukweli na uwazi lakini sivyo, wametumia heshima tuliowapa na imani yetu kwao kutufisadi.
Sawa na wewe leo Mtoto wako aendewe kinyume na kiongozi wa Dini yako, au unapokuta mtaalamu awe Prof na usomi wake lakini badala ya kuchagua wataalamu kumsaidia anachagua watu au mtu kufuatana na ukabila au faida zake za kikazi
Mimi ninaona unawaonea hao wapiganaji bure, hali ya kisiasa cha nchi zetu hizi changa ni ngumu kwa mtu yoyote yule kwenda full throttle, kwa sababu ya usiri wa uendeshaji wa Serikali zetu na nyenzo nyingi za habari na ulinzi na usalama kuwa mikononi mwa mafisadi, na pili uelewa mdogo wa wananchi.
Sasa ndio watu pamoja na wabunge wanaanza kuelewa umuhimu wa wao kutumia nguvu au uwezo walio nao katika kulipigania taifa.
mfano angalia sasa hivi tu "hao wapiganaji" wanavyo jaribu kuchafuliwa ili kupunguza makali ya hiyo report, sasa isingekuwa sasa hivi na haya mambo ya wavuti, na blog tungekuwa wapi au wangekuwa wapi hao wapiganaji?
kuhusu Bunge pia lazima uelewe kuna wengine wamekwenda kule hata hawajui wamekwenda kufanya nini? wapo wapo ndio matokeo yake unasikia kauli kama za kina Serukamba, Makongoro, etc na kuna wengine labda hawa zungumzi lakini ukifika wakati wa kupiga kura waaangalia nani aliwapa billioni 2 za kuzima richmond, au kuangalia Kaka yupo upande gani.
Ukiwa frustrated na serikali hapo ni sawa maana tuliwategemea wafanye mambo kwa kufuata ukweli na uwazi lakini sivyo, wametumia heshima tuliowapa na imani yetu kwao kutufisadi.
Sawa na wewe leo Mtoto wako aendewe kinyume na kiongozi wa Dini yako, au unapokuta mtaalamu awe Prof na usomi wake lakini badala ya kuchagua wataalamu kumsaidia anachagua watu au mtu kufuatana na ukabila au faida zake za kikazi.
Halafu kauli ya nani atakuwa mteuliwa CCM , bado ni mapema mno kusema fulani atapita au la mengine ni poroja za kisiasa
- Ripoti ya Mwakyembe iko wazi kwamba Caspian/Dowans ni Rostam, ambako hela za Richimonduli zilikuwa zikienda na ni Rostam aliyesaini mkataba wa Dowans na serikali,
- Rostam alisaini kwa Dowans na Mgonja kwa serikali, eti mnataka nini tena zaidi ya ushahidi wote huu? au ni wapiganaji ndio wenye makosa hapa?
Respect.
FMEs!
Ndugu yangu Mtanzania..........tumia approach nyingine.........hii ya Richmond..........ni MOTO........that would be my advise to you....
Bubu Ataka Kusema [FONT=Georgia said:
[/FONT]
Huyu Rostam ndiye aliyetafuta nyumba kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya Richmond. Ni yeye aliyelipia pango la nyumba hiyo, alisema Selelii huku akitolea macho Rostam. Alisema, Kamati yetu ilihakikishiwa na mtoto wa Mucadam (Hussen Mucadam) ambaye ndiye mwenye nyumba kwamba nyumba iliyotumiwa na Richmond ilipangwa na Rostam.
Alitaja hata majina ya waandishi hao kuwa ni Gideon Shoo, Jimmy Mdoe na Salva Rweyemamu ambaye sasa ni mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
Kwa maana nyingine, Dowans, Richmond na Caspian ni baba mmoja mama mmoja.
Akiongea huku akionekana mwenye hasira, lakini kwa taratibu mno, Selelii alisema, mnaleta umbeya hapa eti rais hakujua haya. Rais tulimpa ripoti hii kabla ya kuwasilisha bungeni.
Baada ya kumaliza kuumbua Mahanga, Selelii aligeukia Sophia Simba ambaye alituhumu Kamati Teule kuwa imemuonea Lowassa na kumvua nguo mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela na mumewe Joh Malecela. Katika hilo, Selelii alisema, Sophia Simba huyu ni mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT). Pia ni waziri anayesimamia utawara bora, chanzo cha habari ndani ya kamati kinanukuu Selelii. Anasema, aliyoyasema hapa hayakustahili kutolewa katika kikao hiki. Haya ni maneno yanayopaswa kutolewa kwenye kitchen party. Nimemsikiliza kwa makini, mheshimiwa Simba amezungumza mambo binafsi yanayohusu mtu binafsi, alisema.
Mbili, Selii alisema, Sophia Simba amesema hapa kuwa Lowassa ni mwanamme namba moja. Ni mwanamme wa shoka. Akimaanisha kwamba wanaume wote akiwamo rais, waziri mkuu, wabunge na madiwani siyo kitu. Mimi sikubaliani naye. Labda kama mwanamme wa shoka katika masuala mengine, alisema kwa kujiamini.
Hivi kuna tofauti gani kati ya Sophia Simba na Selelii. Kwa hayo waliyoyasema wote ni wambeya wakubwa. Tena afadhali Sophia Simba ni mwanamke kwa hiyo umbeya toka kwake ni kitu cha kutegemea. Lakini umbeya kwa mwanamume ni aibu tupu.
Hivi haya yaliyoibuliwa ndio yale ambayo Bunge liliambiwa kuwa hayakuwekwa katika ripoti kwa kuogopa kuiumbua Serikali?
mkuu wangu Mtanzania, pole kwa comments unaziona hazipo sawa, ukweli ni kwamba watu wengi tuna-appreciate ripoti ya Kamati ya Mwakyembe ambayo wewe unaonyesha kuto ridhika nayo hasa kwasababu hawakumhoji Rostam. Kumbukaa Rostam alipewa wito 'samansi' lakini aligoma. By the ripoti ile ina-significant impact ktk vita dhidi ya ufisadi. Hivyo kwa wewe kuipinga unafanya watu tuwe na conspiracy mbalimbali.

Napata shida sana kuelewa wanaoibeza kazi nzuri ya kamati iliyoongozwa na Dr Mwakyembe! Ni mfumo mbaya tulionao ingekuwa nchi zingine kama China RA na EL wameishanyongwa!
Hivi kuna tofauti gani kati ya Sophia Simba na Selelii. Kwa hayo waliyoyasema wote ni wambeya wakubwa. Tena afadhali Sophia Simba ni mwanamke kwa hiyo umbeya toka kwake ni kitu cha kutegemea. Lakini umbeya kwa mwanamume ni aibu tupu.
Hivi haya yaliyoibuliwa ndio yale ambayo Bunge liliambiwa kuwa hayakuwekwa katika ripoti kwa kuogopa kuiumbua Serikali?
Hata huko China wangenyongwa baada tu ya kuhojiwa. Hapa Tanzania "wamenyongwa" hata bila kuhojiwa. What a fair method of dispencing justice.!!
Mtanzania,
Ni nani wa kumhoji Rostam?.. mkuu kama unajua wazi hakuna mtu CCM ambaye anaweza kumhoji Rostam pasipo yeye kutaka kuhojiwa unategemea kipi kitoke kwenye kamati hiyo. Vyombo vya sheria na rais mwenyewe kwa nini hawa wasimhoji iwe kazi ya kamati ambayo walijaribu kwa kiasi chao wakashindwa.
Yote haya yanayotokea leo ni ktk mlolongo wa tuhuma hizo, ni kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na vyombo vyetu vya serikali na sii kamati ambayo ilikuwa na jukumu moja tu. baada ya hapo wanarudi kuwa Wabunge wa kawaida kabisa.

Huyu Seleli ndiye anayepaswa kuwa waziri wa ofisi ya Rais na Takukuru, maana alizoitoa ndio tunaita facts, hapa chini hakuna mipasho hizi ni facts
...........
- Bravo Mheshimiwa Seleli, maneno haya hayafutiki na tutayatunza sana, maana ni adimu sana kuyapata katika siasa zetu Tanzania, tumezoea mipasho tu na blah! blah! hapa Mbunge ameweka wazi ukweli sasa ni clear hapa lawama iko kwa nani, iko kwa Rais na Waziri Mkuu wake maana kamati imefanya kazi yake imeweka facts wazi na mapendekezo, lakini hao wawili wameshindwa ku-deal na mapendekezo sasa tatizo ni lao, kuna waliooza CCM lakini sio wote, saafi sana Seleli
Field Marshall Es!