amechaguliwa paradigms college of health science
m nmechaguliwa songeaa clinical officers training centre...vp mkuu unakfahamu chuo kkoje au information yoyote kuhuc hcho chuo
amechaguliwa paradigms college of health science
amechaguliwa paradigms college of health science
jamani transfer kwa vyuo vya afya zitatoka lini?
Kwan masomo yanaanza link wadau
na ss wa sec round wk kesho mambo yanaweza kupendeza.
hebu kaka tupia namba ako na mm nimechaguliwa uko Tanga
hivi second round selection mwisho ni lini na third round inaanzia lini?
nacte siwaelewi makosa ni ya kwao kunipangia chuo ambacho hawatoi diploma in clinical medicine kunipa transfer wamekataa kata kata wanataka niapply upya daaah..
Ni vyuo gani vizuri vys private vinavyotoa diploma vizuri?????
Apply Kam College Au Paradigms Kwa Direct Admission Then Chuo Kitapeleka Jina Lako Nacte But Ukiwawekea Manani Hao Nacte Utaumia Sana Kichwa
Ni vyuo gani vizuri vys private vinavyotoa diploma vizuri?????
Jaman join instruction zinatoka lini anayejuwa tafadhali