Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Kwan zaidi ya hivyo vyuo hakuna vingne????

Kwa Dar Es Salaam Ni City College College,paradigms College,kam College But Kampala University Hata Kwa Kulazimishwa Usijaribu Kwenda.....City College Mpaka Sasa Kimejaa Hawapokei Tena
 
Samahani me nimechaguliwa nursing real sipend nersing napenda clinical offcer mzee wang ana niambia kama naweza kupata chuo cha serikali chenye c o ndio nimwambie bt bila hvyo niende nersing tuu hebu ni shaurini
 
Samahani me nimechaguliwa nursing real sipend nersing napenda clinical offcer mzee wang ana niambia kama naweza kupata chuo cha serikali ch
enye c o
ndio nimwambie bt bila hvyo niende nersing tuu hebu ni shaurini

piga nurcing acha mbwembwe kuna watu wanazililia nafac hzo na hawazpati.
 
Samahani me nimechaguliwa nursing real sipend nersing napenda clinical offcer mzee wang ana niambia kama naweza kupata chuo cha serikali chenye c o ndio nimwambie bt bila hvyo niende nersing tuu hebu ni shaurini

kwa nn uliomba nursing na wakati huipendi?
 
naomba munisaidie wakuu, hivi naweza kuapply diploma ya CO au NURSING? nilichukua CBG!

Kinachoangaliwa katika kupata nafasi ni matokeo yako ya O-level na wala sio A-level,hvyo kama una ufaulu mzuri katika masomo ya sayansi O-Level utapata bila shaka!unaweza kuapply sasa!
 
Back
Top Bottom