Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Jaman naomben msaada kwa anayekifahamu vizur Besha Health Training Institute (BHTI) kipo Tanga nmechaguliwa hapo clinical medicine.
 
walikupangia directly au ulifanya tena usajili?

walichokifanya wakazifuta zile selection wakanambia niapply upya kwa kutumia profile yangu ileile then wakanitumia tena selection ktk hk chuo cha city college
 
Jaman naomben msaada kwa anayekifahamu vizur Besha Health Training Institute (BHTI) kipo Tanga nmechaguliwa hapo clinical medicine.

BESHA HEALTH TRAINING INSTITUTE-TANGA
institution detail-REG\HAS\118P
Ownership😛rivate
Region:Tanga
District:Tanga City Council Fixed Phone 255
Phone 255
Adress: P.O.BOX 5025 TANGA
Email:mhandosam@yahoo.com

PROGRAMME OFFERED BY THIS INSTITUTION
Technician Certificate In Medical Laboratory Science (Nta Level 5)
Ordinary Diploma In Clinical Medicine (Nta Level 6)
Technician Certificate In Clinical Medicine (nta Leve 5)
Besha Health Training Institute Contacts-0784 527574
0784 473274
0768 527625
nadhani nimekutosheleza mkuu
 
hebu kaka tupia namba ako na mm nimechaguliwa uko Tanga

nacte hawajanifanyia utu kbs.. chuo walinipangia wao halafu mwisho wa siku wananiambia wameniambia wamekosea kunipangia iko chuo hakitoi clinical medicine.. et nifanye tena application third round, wakati first selection wamenipangia wao wenyewe.. nimewaambia makosa ni yenu na sio mimi bhasi wanifanyie transfer wamekataa kata kata wanataka niapply upya.
 
karibuni sana ndugu zangu...kwa wale wa clinical medicine first semister mtakula kitabu cha Anatomy na physilogy hii ngoma sio mchezo ikiwa umechaguluwa Shule ngumu na mkipata mwalimu complicater wa hili somo nishida lakini anatomy first semister sio taiti ukilinganisha na ile second semister vilevile kuna mnyama mwengine Anaitwa PATHOLOGY nae huyu jamaa mtata sana ila mkiwa na doctor mzuli akamipigia Shule vizuri unasoma hadi moyo unapenda! Kuna jamaa mwingine Anaitwa MICROBIOLOGY AND ENTOMOLGY jamaa huyu ni mtata nae ila sio sana jamaa wengine na wakawaida hawatishi wala nini maana wamekaa kisiasa nao ni ENVIRONMENTAL HEALTH,COMMONICATION SKILLS AND COUNCELLING..
Angalizo ndugu zangu mkifika mpige Shule muache mzaha maana Mambo sio lelemama..na uzuri wa hii kozi Kama utakuwa serious na kusoma basi utakuwa unafaulu kwa kiwango cha juu lakini ukiwa shallow alafu upo kwenye chuo kigumu safari ya nyumbani ni mapema sana wenzio wanakuaga.... Kwa walio chaguliwa Mvumi cotc karibuni sana Maana ni chuo kizuri sana

mkuu vp kwa technician certificate of clinical medicine...masomo yakoje....
 
certificate na diploma masomo ndo hayohayo kitabu wanachosoma watu wa diploma ndo hichohicho wanachosoma watu wa cheti. umechaguliwa chuo gani kijana?

amechaguliwa paradigms college of health science
 
Back
Top Bottom