Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

hv kaka zangu mbona amnijibu kuhusu chuo cha AMO TRAINING CENTRE TANGA.kama kikovizur kiufundishaji

MI mbona nlishakujibu mkuu ...ok let me answer you again dear brother hiki chuo ni kizurii na kinatoa taaluma ya uhakika
 
Kila nikienda kwenye profile yangu nakuta bado kupo vile vile na pia naskia nacte wametoa majina ya waliomba MD ni kweli wazeee
 
Kila nikienda kwenye profile yangu nakuta bado kupo vile vile na pia naskia nacte wametoa majina ya waliomba MD ni kweli wazeee

tembelea kwenye website ya vyuo ulivyoomba ukiona kuna majina ya wanafunzi waliopangiwa na nacte then we jina lako hulioni call nacte for more details 0658 444 557
0658 444 557 namba hizi huwa wanapokea haraka kdg
 
walishaanza tokea tarehe 5 me leo ndo nataka kurudisha fomu nimeomba diploma ila serikalini walinipa certficte coz sikua na points 28+

kuanzia tar 5 mpk leo hii sisi tulikuwa ktk registration panapo majaliwa kuanzia jumatatu tunaanza mapindi
 
Ndugu zangu vip wale walio chaguliwa kusoma MD Kampala University wataenda au wanawatema
 
jamani mim nacte walinipangia chuo cha Tanzania training center for international health lakini kumbe nacte walikosea kuniweka uko cz iko chuo hawatoi clinical medicine. nimeenda ofisi za nacte wakaniambia niambie ni kweli wao wenye walifanya makosa wakaniambia niapply upya hapo ndipo nilipochoka.
je ninaweza kwenda kuomba chuo kingne bila kupitia nacte?
 
jombaa nimewapigia mara 69 lakini hawapokei simu
Bab mie nimewapigia asubuhi ya leo mara mbili hawajapokea ila mara ya tatu wakapokea. Na nilipoishiwa credit na kucall tena walipokea muda huo huo.
Asubuhi mara nyingi huwa wanapokea
 
kamanda wewe umepangiwa chuo gani?

mkuu me walinipangia K'S ROYAL HEALTH MBEYA alafu hiko chuo wanafundisha certificate 2 na ada ni nyingi xo nimeenda kuomba direct pale paradigms diploma ya C.O
 
mkuu me walinipangia K'S ROYAL HEALTH MBEYA alafu hiko chuo wanafundisha certificate 2 na ada ni nyingi xo nimeenda kuomba direct pale paradigms diploma ya C.O

kwahiyo mkuu vyuo private unaweza kuomba directly bila kupitia nacte?
 
Back
Top Bottom