Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Provisional registration ni chuo kinapewa usajil wa awali inamaana kunavigezo kinakuwa kijakamilisha hvyo hupewa muda wa kuvikamilisha chuo kikishindwa ndani ya muda provisional registration ina expire ils kikikamilisha vgezo ndo kinapewa certificate of full registration,, sasa Kampala ukiwafuatilia hawajawahi hata kuomba usajili kutoka bodi za afya ila wanatumia mwamvuli wa TCU ambao ni favour kwa koz ambazo si za afya ila unaposoma afya lazma chuo kisajiliwe na NACTE /TCU pamoja na bodi za afya za kila kozi
 
nimekupata mkuu
 
Kuna rafki yangu amekuta blanks kwenye profile take hii INA maana gan msaada wakuu

chuo alishapangiwa au bado na kama alichaguliwa je alicomfirm but mwambie alog in tena ktk profile yake aangalie kama imerud normal au bado ila mara nyingi huwa ni network problem maana wao kila siku kazi kulirekebisha hilo liCAS lao
 
Tume login na ku logout Ila haibadiliki INA display kama unavyo hapo kwenye pic mkuu
 
Mkiwa chuoni pigen kitabu hasa kuanzia level ya diploma, but hata certificate hutakiwi kuleta mzaha... Kuna disco huku tena bila kinanda wala drum.... Karibun kwenye maisha ya chuo.
 
field huwa mnatumia hospital gani mkuu au mna hospitali hapo hapo chuoni
 
msaada makaka, nimechaguliwa chuo cha Tanzania training center for international health ngazi ya diploma. nimewasiliana na uongozi wa chuo wakaniambia kuwa chuo akipokei wanafunz wa diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer..
jana nimeongea na nacte wakaniambia kuwa chuo kimesajiliwa na kinatoa certificate na diploma clinical medicine... wananiweka njia panda kwa kweli na ukiangalia second round selection imepita sasa nifanye nini kaka zangu,
ina maana nacte wanataka kuwa kama Kampala university wanafanya vitu kwa kubahatisha bila weledi
 
wasiliana na huyu dada wa nacte 0658444557 mm pia aliwahi kunisaidia
 
Kwahyo ustaz unatushari tukiache sis tulio chaguliwa kampala
 
hv kaka zangu nacte waliniambia kua joining tutazipata kupitia profile,website yao na chuoni.sasa kwenye profile inawezakana?
 
Bachelor of science in environmental health science kwa muhimbili.mwenye majina ya walochaguliwa naomba anisaidie.
 
kwa mliopangiwa kampala university nawashauri mtafute vyuo vingine....kuna paradigms college,kam college hv vinatambulika jamani fanyeni kwa direct admission
So taratibu za ku transfer chuo kwenda chuo kingne zipo vip
 
unaacha kampala unaenda chuo kingine kweli kwenu kuna pesa,ukweli ni kuwa chuo cha kampala kimethibitishwa na bodi zote za kitaaluma zinazohusika. ule mgogoro umeisha kitambo ila watu wanaishi historia. kwa mfano chuo kina matatizo basi wanafunzi huhamishwa kwenda chuo kingine kwa gharama za chuo husika na hilo lilishafanyika kwa vyuo vilivyokosa sifa. acheni kutisha watu kama wewe ulienda kampala ukawa umefanya migomo ndo masomo yako ukapata ufaulu mdogo basi tulia huku serikalini watu wanaajiriwa kwa GPA. kwa waliochaguliwa kampala waende chuo hakina matatizo
 
mkuu kampala umechaguliwa kozi gani?
 
Wewe acha kupotosha watu mpaka Leo hakuna mwanafunz yoyote wa Kampala aliyeajiriwa and up to now certificate na diploma waliahidiwa kwenda kufanya verification mpaka Leo hakuna aliyefanyiwa hyo process,,, acha kuongea vtu ulivyoviskia kwenye matangazo
 
Back
Top Bottom