Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Kwa wale wa bagamoyo nursing mkipata taarifa za join kutoka naomba mnicheki kwa namba0718878408
 
wadau vp msharipoti vyuoni coz kuna vyuo jana tar 5 ilitakiwa mripoti..mim niliambiwa niripoti chuoni tar 5 ila mpk leo hii bado sijaenda nataraji kuripoti kesho morning

vp mkuu kuhusu bei za vifaa zikoje?
 
Jamani anayekifahamu chuo cha St Agrey cha Mbeya hasa ada yake anijuze kwa diploma ya clinical medicine
 
Jamani anayekifahamu chuo cha St Agrey cha Mbeya hasa ada yake anijuze kwa diploma ya clinical medicine

ST AGGREY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE -MBEYA
institution detail REG\HAS\116P
Ownership😛RIVATE
Region : mbeya
district:mbeya city council fixed phone:0754284269,0713284269
phone:0754402469
adress😛.O.BOX 328 MBEYA
Email:mbokamwambusi@yahoo.com
piga simu mkuu uulizie ada
 
Jamani kuna mtu aliye chaguliwa kampala University humu tupeane imfo
 
kwahiyo medical lab ngaz ya diploma ina ajira za fasta na mshahara wake ni sh ngap?

kwa ngaz ya diploma ni lak 7+ baada ya makato na wa2 weng waliosoma degree huwa huwakuti maospitalini but wanakimbiliaga TFDA na TBS
 
Kuhusu ajira za labo zipo nyingi sana na wa2 weng waliosoma diploma ya labo huwa wanaharaka sana ya kukimbilia kusoma digree co diploma huwa wana2piwa maospitalini na mashuleni ila digree huwa wanatupiwa TFDA,TBS na pia wizara ya afya kitengo cha BENKI YA DAMU
 
kwa upande wa phamarcutical science huwa wanapewa ishu za kusambaza dawa maospitalini kwa wale wa diploma za phamarcy kama ukiajiriwa serikalini na wale wenye digree wengiwao utawakuta kule MSD-tabata nafikiri ndo bohari ya dawa ya serikali pekeyake ila kuna nyingine kubwa ipo pale mwenye inaitwa shelly hyo ina dili na kutengeneza dawa na kuiuzia serikali pia zipo bohari ndogo ndogo za wahindi kule kariakoo
 
Back
Top Bottom