Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

mm pia nimechaguliwa st Aggrey coz ya clinical medicine! ila bado cjapata information zozote kuhusu joining instruction!

mwenyew naenda kupiga clinical medicine lakini sielewi nn kinaendelea until now
 
jamani ndugu zangu pitieni profile zenu coz kesho hakna mambo ya kureseat choice
 
mm pia nimechaguliwa st Aggrey coz ya clinical medicine! ila bado cjapata information zozote kuhusu joining instruction!

mie pia nimechaguriwa hapo clinical medicine lakn cjapata joining hadi sasa na niliwapigia simu chuon akapokea jamaa fulan hv akasema wataweka kwenye email zetu lakini hakuna kitu hadi leo
 
wakuu naomba msaada nlivyofanya usajili wa vyuo nlichaguliwa chuo cha private st.aggrey lakini sitaki kwenda huko naweza kuamia chuo kingine cha private
 
wadau kuna mpya gani wale wa 2nd round na wale wa community health.
 
Back
Top Bottom